MAGAZETI ya Leo Jumatano 21 May 2025

Filed in Michezo by on May 21, 2025 0 Comments
     
MAGAZETI ya Leo Jumatano 21 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 21 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 21 May 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

JKT Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Soka Wanawake (WPL) msimu huu wa 2024/2025 baada 2025 kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Gets Program May 20,2025.

Ushindi huo umeifanya JKT Queens kumaliza msimu na pointi 47 sawa na Simba Queens lakini zikitofautiana mabao ya kufunga na kufungwa.

Katika mchezo huo, JKT Queens dakika 35 za mwanzo zilishaonyesha kuwa ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa baada ya kuwa mbele kwa mabao 3-0 yaliyowekwa kimiani na Anastanzia Katunzi dakika ya sita, Stumai Abdallah dakika ya 24 na Wilfred Gerard dakika ya 31 ambaye alifunga lingine dakika ya 68, huku la mwisho likipachikwa na Janet Matulanga dakika ya 87.

Simba Queens ambayo nayo ilikuwa na nafasi ya kuchukua ubingwa huo, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alliance Girls.

Mabao ya Simba Queens yaliwekwa kimiani na Jentrix Shikangwa na Shelda Boniface.

Huu ni ubingwa wa nne kwa JKT Queens baada ya kuutwaa msimu wa 2017/2018, 2018/2019 na 2022/2023, ikiwa sasa imemaliza kiburi cha Simba Queens ambayo ilikuwa ndiyo timu ilitwaa ubingwa huu mara nyingi (4), msimu wa 2019/2020, 2020/2021, 2021/2022 na 2023/2024.

Stumai Abdallah wa JKT Queens, ameibuka mfungaji bora wa ligi hiyo baada ya kufunga mabao 28.

Baada ya kumalizika kwa msimu huu, Mlandizi Queens imeshuka daraja ikiwa na pointi moja sambamba na Gets Program iliyomaliza na pointi 10.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *