MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 06 February 2025
MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 06 February 2025
Rais Donald Trump, amesaini amri ya kuiondoa Marekani katika Baraza la Haki la Umoja wa Mataifa (UNHRC), jambo linalohatarisha mchango wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa.
Trump pia ameamuru Marekani kujiondoa katika Mpango wa Umoja wa Mataifa unaotoa Misaada kwa Wapalestina (UNRWA).
Tovuti ya Deutshe Welle (DW) imeripoti leo Jumatano Februari 5, 2025, kuwa Trump pia analenga kupitia upya ushiriki wa taifa hilo katika shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Sekta ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco).
Siyo mara ya kwanza Trump kuiondoa Marekani katika UNHRC, aliwahi kuchukua uamuzi huo mwaka 2018.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
