MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 01 February 2025

Filed in Magazeti by on February 1, 2025 0 Comments
     

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 01 February 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

VIDEO ZA WAKUBWA TU MIAKA 18+

Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13 wa Mwaka 2024, ambapo sasa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti, imejumuisha muda uliobaki wa kufikia wiki 40 za ujauzito, huku baba naye akipewa siku saba za kupumzika.

Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) ni miongoni mwa wadau ambao wamekuwa wakipaza sauti zao kutaka kuongezwa muda wa likizo za waajiriwa hao, ili kuboresha ustawi wa watoto hao.

Marekebisho hayo yamewasilishwa January 31, 2024 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kwa niaba ya Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete.

Akiwasilisha muswada huo, Mavunde amesema awali ilipendekezwa muda wa wiki 36 kama ukomo wa muda wa mtoto kutimia baada ya kuzaliwa kabla ya muda.

Hata hivyo, amesema baada ya majadiliano na kamati, Serikali ilikubaliana na mapendekezo ya kuongezwa muda huo hadi kufikia wiki 40 na kuongeza muda wa likizo ya baba, ambaye atapata mtoto njiti kutoka siku tatu hadi siku saba.

Taasisi ya Doris Mollel ambao ni moja wa waanzilishi wa wazo hilo, pamoja na Mtandao wa Haki ya Afya ya Uzazi nchini wamepongeza suala hilo ambalo wamekuwa wakilipigania kwa muda mrefu.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!