MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 02 January 2025
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 02 January 2025
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema upimaji wa kitaifa darasa la nne mwaka huu kwa mara ya kwanza, utahusu masomo saba badala ya sita.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed kwenye uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la 2023 unaofanyika leo Februari Mosi, 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.
“Katika upimaji wa kitaifa darasa la nne mwaka huu, kwa mara ya kwanza tutapima masomo saba badala ya sita. Tutapima lugha ya kigeni; kuna lugha tatu za kigeni pamoja na lugha tulizozizoea za English language na Kiswahili. Tutapima lugha ya Kiarabu, Kifaransa pamoja na Kiingereza,” amesema Dk Mohammed na kuongeza:
“Katika uchakataji wa matokeo, tutazingatia masomo sita japo wanafunzi watafanya masomo saba.”
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
