MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 05 January 2025
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 05 January 2025
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwepo wa mvua kubwa na hali mbaya ya hewa katika mikoa tisa nchini hali hiyo ikitarajiwa kudumu kwa siku tano kuanzia Jumanne hadi Jumamosi.
Kwa mujibu wa TMA, kutakuwa na upepo mkali wa kilomita 40 kwa saa katika ukanda wa pwani wa Bahari ya Hindi.
Taarifa hiyo iliyotolewa Jumanne ya February 4, 2025 inataja mikoa hiyo kuwa ni Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
