Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 12 February 2025
Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 12 February 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema timu kuwa zote kubwa zinazoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania bara zitaalikwa mkoani Arusha kwaajili ya maadhimisho ya siku ya mwanamke Duniani.
Msingi wa kauli hiyo ni kuchagiza maadhimisho maalumu ya siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2025 ambayo mkoa huo umeandaa siku saba za wiki hiyo kutoa huduma za kijamii na kushiriki michezo ikiwemo mpira wa Miguu kwa Wanawake.
Makonda ameyasema hayo Jumanne Februari 11, 2025 akizungumza katika ufunguzi wa kikao kazi cha tano cha Mamlaka ya Serikali Mtandao.
Mbali na hilo akizungumza katika hafla hiyo Makonda amerusha kijembe kwa mashabiki wa Yanga akigusia suluhu iliyopata timu hiyo dhidi ya JKT Tanzania FC.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
