MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 29 January 2025
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 29 January 2025
Rais wa Marekani, Donald Trump ameagiza kusitishwa usambazaji wa dawa za Ukimwi, malaria na kifua kikuu kwa nchi zinazopewa misaada na Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID).
Agizo hilo limetolewa January 28, 2025 huku hatua hiyo ikilenga kupitia upya miradi mbalimbali ya misaada lakini imeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalamu wa afya na mashirika ya kibinadamu.
Kwa mujibu wa duru za kimataifa, agizo hilo linatarajiwa kuathiri mamilioni ya watu wanaotegemea huduma za matibabu kupitia programu kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR).
Mpango huo, ulioanzishwa mwaka 2003, umeokoa zaidi ya maisha ya watu milioni 25 barani Afrika.
Aidha, mashirika yanayotoa msaada, likiwamo la Chemonics, yamesema hatua hiyo itavuruga upatikanaji wa dawa na huduma kwa watu walioko hatarini zaidi.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
