MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 03 January 2025

Filed in Magazeti by on February 2, 2025 0 Comments
     

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 03 January 2025

Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema kuwa askari wake wawili wamefariki Dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Taarifa hiyo imetolewa Jumapili February 02, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Gaudentius Ilonda.

“Kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma yaliyofanywa na waasi wa M23 January 24 na 28, 2025, JWTZ limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa.

Hata hivo Majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu mjini Goma.

“Taratibu za kuisafirisha miili ya marehemu wetu pamoja na majeruhi waliotokana na mapigano hayo zinaendelea kupitia Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi wetu na aziweke roho za marehemu mahali pema peponi, amina,”imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!