Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 17 February 2025

Filed in Magazeti by on February 16, 2025 0 Comments
     

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 17 February 2025

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki rasmi Sasa amefunga pingu za maisha na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wawili hao wamefungishwa ndoa na Shekh Mkuu wa Dar es Salaam, Walid Alhad Omar na jopo mashekh wengine February 16,2025 katika Msikiti wa Masjid Nnuur uliopo Mbweni, Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza baada ya ndoa hiyo Shekh Walid amewatakia kheri wanandoa hao huku akisisitiza watu kuepuka zinaa.

Baada ya kufunga ndoa hiyo leo pia kutakuwa na sherehe nyingine itayofanyika February 19, mwaka huu kwenye ukumbi wa Superdome Masaki, Jijini Dar es Salaam.

Mapema Jana Hamisa alilipiwa mahari ya ng’ombe 30 na kiasi cha Sh30 milioni na Azizi Ki mahari iliyokabidhiwa na Rais wa Young Africans, Mhandisi Heris Said kwa niaba ya familia ya Stephen Aziz Ki.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *