Majina 8000 ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya VETA 2025

Majina 8000 ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya VETA 2025
Majina 8000 ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya VETA 2025,Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi.
ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA FANI MBALIMBALI NA ORODHA YA AKIBA – MACHI 2025.
Ikumbukwe kuwa tarehe 31 January, 2025 Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM-KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika Taasisi za mafunzo zilizotangazwa.
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa jumla ya vijana 8,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 52 nchini.
Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwajili ya kujisajili kuanza mafunzo kuanzia tarehe 3 Machi, 2025.
Mafunzo yanatolewa ni ya kutwa.
Mikoa na vyuo husika ni kama ifuatavyo:-
KUITWA KUANZA MAFUNZO YA UFUNDI NA STADI ZA KAZI KATIKA FANI MBALIMBALI KWA NJIA YA UANAGENZI.
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Majina 8000 ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya VETA 2025, Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya VETA 2025