MAJINA ya Majina ya Walioitwa Kazini Ubungo Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on April 8, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Majina ya Walioitwa Kazini Ubungo Municipal Council

MAJINA ya Majina ya Walioitwa Kazini Ubungo Municipal Council

MAJINA ya Majina ya Walioitwa Kazini Ubungo Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kuitwa Kazini  Kada ya Mhandisi Mtendaji Ujenzi, Mhandisi Ufundi na Umeme, Mhandisi Msanifu Majengo na Dereva Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Anapenda Kuwataarifu Waombaji Kazi Wote wa Kada ya Mhandisi Mtendaji Ujenzi II, Mhandisi Ufundi na Umeme II, Mhandisi Msanifu Majengo II, na Dereva II Waliofanya Usaili wa Mahojiano tarehe 05 Aprili, 2025 Matokeo yametoka.

Waliochaguliwa wote Wanatakiwa Kuripoti Kazini tarehe 09 Aprili, 2025 saa 1:30 asubuhi Katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na Vyeti Halisi Vilivyotumika Katika zoezi la Usaili

Orodha ya Waliotwa Kazini imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *