MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

Filed in Kuitwa Kazini by on April 2, 2025 8 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO: Majina ya walimu walioitwa kazini katika Utumishi wa Umma baada ya kufaulu kwenye Usaili wa Kada za Walimu wa Kawaida, Amali na Biashara yanapatikana kupitia tovuti www.ajira.go.tz

Matokeo haya ni kwa wale waliofanya usaili kati ya tarehe 14 hadi tarehe 17 January 2025 kwa baadhi ya Mikoa.

Majina mengine yanaendelea kutoka, endelea kutembelea website yetu.

Walimu Walioajiriwa 2025, Walimu Walioitwa Kazini 2025, Walimu walioajiriwa 2025 pdf, download PDF za Walimu walioajiriwa 2025, Download Walimu walioajiriwa 2025, Walimu walioajiriwa Mwaka huu 2025.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (8)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Baraka says:

    Well done

  2. Mambo magumu sana vipi wa wa uchumi mbona wameanza kuitwa kwenye shule binafisi kufundisha business studies

  3. Anniel mussa says:

    Ety kwa mwalimu ambae alifaulu usaili wa kuandika lakini kutokana na sababu za kibinadamu hakufanya usaili wa oral je atapangiwa kituo cha kazi au laaa?

    • savera rwezaura says:

      poleni na kazi jamani naomba dada angu savera rwegoshora apate ajira ili aweze inua familia yetu. Mungu awabariki sana watumishi

      • Fredy Patrick Mwaipopo says:

        Ndugu zangu watanzania, hivi sisi wengine sio watanzania au? Mbona kwenye suala la ajira tunasahaulika sana? Watuambie tutafute kwetu

    • Anna says:

      Atapangiwaje ndugu huyo asubr awamu ijayooo

  4. Samweli says:

    Mbona kwa walimu elimu ya awali majina hayatoki tena?

  5. Winfrida albert says:

    Mbna me WINFLIDA BUHONYA AL BERT Sioni jina langu nmechoka kuwa natazama majina ya wengine af me simo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *