MAJINA ya Walioitwa Kazini Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Filed in Kuitwa Kazini by on April 17, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kazini Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

MAJINA ya Walioitwa Kazini Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

MAJINA ya Walioitwa Kazini Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Naibu Gavana Utawala na Udhibiti wa Ndani wa Benki Kuu ya Tanzania
anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliofanya usaili wa mahojiano
tarehe 21, 24 na 25 Machi, 2025 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu
usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kufika Benki Kuu ya Tanzania Makao
Makuu Ndogo Dar es Salaam tarehe 23 Aprili, 2025 Saa Mbili na Nusu Asubuhi ili kukamilisha taratibu mbalimbali za Ajira, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili kwa uhakiki.

Nyaraka za kuwasilisha kwaajili ya uhakiki ni;

  • Vyeti halisi (Original Certificates) kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato
    cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu,
    Shahada na vyeti vingine (kutegemeana na nafasi uliyokuwa
    umeomba), na nakala mbili zilizothibitishwa na mwanasheria,
  • Nakala mbili za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) zilizothibitishwa na
    mwanasheria,
  • Picha ndogo mbili za rangi (passport size photograph).

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *