MAJINA ya Walioitwa Kazini Hospitali ya Taifa Muhimbili

MAJINA ya Walioitwa Kazini Hospitali ya Taifa Muhimbili
MAJINA ya Walioitwa Kazini Hospitali ya Taifa Muhimbili
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 18-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina mengine ya Walioitwa Kazini UTUMISHI mwezi huu June 2025 tazama hapa chini.
- MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10/06/2025
- MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 11/06/2025
- MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13/06/2025
BARUA YA KUITWA KAZINI BONYEZA HAPA.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kazini Hospitali ya Taifa Muhimbili