MAJINA ya Walioitwa Kazini University of Dar es Salaam

Filed in Kuitwa Kazini by on April 2, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kazini University of Dar es Salaam

MAJINA ya Walioitwa Kazini University of Dar es Salaam

MAJINA ya Walioitwa Kazini University of Dar es Salaam

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi
mbalimbali waliofanya usaili tarehe 10, 11, 12 na 13 Machi, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwabkufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuanzia tarehe 28 Machi, 2025 saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwevkabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

  • Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo
    zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
  • Cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
  • Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA NYONGEZA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *