MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 05-04-2025
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
- MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025
- MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 05/04/2025
- MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 03/05/2025
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

dicksonjacobo12@gmail.com
Dickson2003
Tanzania
Nashukuru sana na Mwenyezi Mungu awabariki
Japo napenda kuomba au kutoa ya moyoni
Natumaini serikali yangu sikivu itatusikiliza
Mimi ni mtumishi wa afya nipo Mtwara hospitali ya mkoa Ligula
Mtumishi akiomba uhamisho naombeni sana mmsaidie wadada wengi wanapotezabndoa zao
Na wakaka wengi wanapoteza ndoa zao kwa sababu wakati wanaajiriwa walikuwa wanaishi na wenza wao anapata ajira anaondoka ruhusa au likizo hadi miezi 8 ya mwanzo na baada ya kila miezi sita huyo mtu alikuwa anaishi na mme au mke wanakuwa ni watu wa kuwasiliana mwisho wa siku hisia zina wazidi mme au mke yupo mwanza kazi mtwara
Mfanon mimi mke yupo iringa mimi mtwara uhamisho hadi leo mwaka wa tano unakaribia sijawahi hata kujibiwa mke wangu nipo nae mbali yupo mkoa wa baridi mimi huku naishi vipi
Naomba sana mtusikilize na sisi maombi yetu tuna pata ajira lakn inakuwa maumivu matupu kwa psychologia mke namuwaza hata ikizima simu tu kwa bahati mbaya hamuwezi kuelewana
Hatimaye wanaume wanazalisha watoto wa watu nakuwatelekeza bila ndoa inauma sana mke anaamua kuwa na mtu huyo mtu ni mme wa mtu akiachika kwa mme wake anaolewa na nani
Fanyeni reseach watumishi wengi mwisho wa siku anakuwa singo mama au na kuolewa na mme mwingine
Tunaomba mtu akiomba uhamisho ashugulikiwe mapema ila awe na afya ya akili nzuru tuweze kujenga taifa letu wote kwa paamoja
Inaniuma sana natamani sana hata nionane na nyie nina mengi sana ila mkumbuke kila mkoa kuna watu wanaotaka kurudi au kuhamia hakuna mkoa mgumu kama ni kwenu na wengi wanataka kurudi kwao kwa ajili ya kujiandaa kustafu pamoja na familia zao
Naomba kazi