MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Naitwa mariselina luvanga naomba nafasi ya kazi yoyote iwe usafi Nina miaka 28 elimu kidato Cha nne