MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 09 April 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 09 April 2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 09 April 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 24-02-2025
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Habarin ndugu
Habari mimi henry s Chelula mkazi wa Gongo ra mboto kazi yangu udevra
sielewi