MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili IAA, TAA, VETA, TBC, TBS, MNH, TEMESA, NBS, LGTI, TALIRI, TICD, TPSC, NEMC, WMA na MDAs & LGAs 18/04/2025

Filed in Usaili by on April 18, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili IAA, TAA, VETA, TBC, TBS, MNH, TEMESA, NBS, LGTI, TALIRI, TICD, TPSC, NEMC, WMA na MDAs & LGAs 18/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili IAA, TAA, VETA, TBC, TBS, MNH, TEMESA, NBS, LGTI, TALIRI, TICD, TPSC, NEMC, WMA na MDAs & LGAs 18/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili IAA, TAA, VETA, TBC, TBS, MNH, TEMESA, NBS, LGTI, TALIRI, TICD, TPSC, NEMC, WMA na MDAs & LGAs 18/04/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma, Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Wizara ya Maji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wakala wa Vipimo (WMA), Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC), MDAs & LGAs, Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-04-2025 hadi 18-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yaliyoorodheshwa kwenye PDF hapa chini.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *