MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025

Filed in Usaili by on April 23, 2025 28 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili JESHI la Polisi 2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili jeshi la Polisi 2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 23/04/2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi
kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 asubuhi
hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.

Kwa wasailiwa wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada usaili utafanyika jijini Dar es Salaam katika uwanja wa gwaride uliopo Kambi ya
Polisi (Police Barracks) barabara ya Kilwa nyuma ya kituo cha Polisi Kilwa
Road.

Kwa wasailiwa wenye elimu ya kidato cha Nne na cha Sita usaili utafanyika
kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliyoichagua wakati wa kutuma
maombi.

Kwa wasailiwa wa Zanzibar wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Nne, usaili utafanyika Zanzibar ambapo kwa
walioko mikoa ya Unguja, usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar (Ziwani) na Mikoa ya Pemba usaili utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).

Kila msailiwa atalazimika kufika eneo la usaili akiwa na vyeti halisi vya taaluma (Academic certificates), cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Taifa cha NIDA au namba ya NIDA pamoja na nguo na viatu vya michezo.

Msailiwa atakayefika kwenye usaili baada ya tarehe 28/04/2025 hatapokelewa.

Aidha, orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini:

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (28)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. KAJUNA says:

    majina ya waliochaguliwa kwenye usaili

  2. Msauzi says:

    I’m live this aprication of police

  3. Is special fo me to show my information

  4. Majina ya usaili polisi

  5. godfrey.kisabo says:

    Kuangalia majina ya walioitwa kujiunga na jeshi la polisi

  6. A BULUGU says:

    naomba wasimamizi wawe na huruma kwa upande wa mkoa wa simiyu

  7. Gloria boya maduhu says:

    Mungu atusaidie

  8. Gloria boya maduhu says:

    Majina yawalioitwa kwenye usaili

  9. Mathayo says:

    Majina waliochagulia usaili police 2025

  10. Elasto Mussa Edward says:

    Elasto mussa Edward

  11. Saleh mohd salim says:

    Kwasie tuliokuahatumo tukawa namambo yote twatakiwa

  12. Mustafa bakari ally says:

    Nimeona jina langu kwenye orodha ya walio chaguliwa kwenye usahili lakini sijapokea taarifa yoyote

  13. Laurent Daniel mwambene says:

    Majina ya usahili

  14. Kwanini.mm pia jina langu lime canceliw..shida ipo wapi

  15. Kwahiy0.shida ya mimi cunceliwa…ni imail yangu au

  16. Burhan says:

    Walioitwa kwny usahili dar es salaam wilaya ya kinondon wanaripoti wapi

  17. Juma says:

    Na jeshi la akiba wapewe nafasi za kazi kama police,magereza zima moto kwa ajiri ya kusaidia ajira kwa vijana

  18. Mbona majina siyaoni tunayapateje Sasa.

  19. Said Hussein said says:

    Majin walio chaguliwa polis

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *