MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Mbeya City Council 07/05/2025

Filed in Usaili by on May 7, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Mbeya City Council 07/05/2025

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Mbeya City Council 07/05/2025

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Mbeya City Council 07/05/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSADIZI WA HESABU

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Msaidizi wa Hesabu iliyotangazwa kupitia tangazo la tarehe 15/10/2024 lenye kumbukumbu namba Na. HB/145/03/14 kwamba usaili wa kuandika (Written interview), vitendo (Practical) na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 15- 16/05/2025 kama ifuatavyo:-

Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi kuanzia cheti cha kuzaliwa, Kidato cha nne na vyeti vya Taaluma aliyoombea nafasi ya kazi.
  • Wasailiwa waliosoma nje ya Nchi, waambatanishe uthibitisho wa Mamlaka husika (NECTA, NACTE, TCU).
  • Wasailiwa watakaokuja naTestimonials, provisional results, statement of results, results slips and academic transcripts HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na Kitambulisho moja wapo kati ya vifuatavyo: (NIDA, Leseni ya udereva, Mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka Serikali za Mitaa).
  • Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  • Waombaji ambao majina yao hayajaonekana katika Tangazo hili watambue kuwa hawakufanikiwa hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
  • Kila msailiwa anatakiwa kuangalia jina lake kama lipo kwenye orodha ya wasailiwa.
  • Pia mnashauriwa kutembelea Tovuti www.mbeyacc.go.tz na mbao za matangazo ili kupata taarifa endapo kutakuwa na mabadiliko yatakayojitokeza.

Aidha, Orodha ya wasailiwa imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini  Pia, wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia muda.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *