MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbeya City Council 23/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbeya City Council 23/04/2025
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbeya City Council 23/04/2025
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA AJIRA YA MKATABA WA KUDUMU KWA NAFASI MLINZI KWA AJILI YA SHULE ZA ENGLISH MEDIUM
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anapenda kuwa taarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Mlinzi unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 28/04/2025 kama ifuatavyo:-
Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi kuanzia cheti cha kuzaliwa, Kidato cha nne na vyeti vya Taaluma aliyoombea nafasi yakazi.
- Wasailiwa waliosoma nje ya Nchi, waambatanishe uthibitisho wa Mamlaka husika (NECTA, NACTE, TCU).
- Wasailiwa watakao kuja na Testimonials, provisional results,
statement of results, results slips and academic transcripts HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA.
Wasailiwa wanatakiwa kufika na Kitambulisho moja wapo kati ya vifuatavyo:
- NIDA
- Leseni ya Udereva
- Mpiga kura au
- Barua ya utambulisho kutoka Serikali za Mitaa).
Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
Waombaji ambao majina yao hayaja onekana katikaTangazo hili watambue kuwa hawakufanikiwa hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapo tangazwa tena.
Kila msailiwa anatakiwa kuangalia jina lake kama lipo kwenye orodha ya wasailiwa.
Pia mnashauriwa kutembeleaTovuti www.mbeyacc.go.tz na mbao za matangazo ilikupata taarifa endapo kutakuwa na mabadiliko yatakayo jitokeza.
Aidha, orodha ya wasailiwa imeambatanishwa katika Tangazo hili.
Pia, wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia muda.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbeya City Council 23/04/2025