MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA 18/04/2025

Filed in Usaili by on April 18, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA 18/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA 18/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA 18/04/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-04-2025 hadi 08-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yaliyoorodheshwa kwenye PDF hapa chini.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *