MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nkasi District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nkasi District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nkasi District Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya ya Wakusanyaji mapato walioomba kazi katika tangazo la nafasi la tarehe 4.2.2025 lenye KUMB.NA.NKS/DC/II.10/20/32 kuwa, usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 16.4.2025 katika Ukumbi wa Halmashauri (Community Centre) kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
- Kila Msailiwa anatakiwa kufika na vyeti halisi (Original Certificate) vya kidato cha nne, kuzaliwa
- Testimonials, provisiona results, Statement of Results pamoja na Hati za matokeo za kidato cha nne havitakubaliwa.
- Kila msailiwa anapaswa kufika na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi kati ya vitambulisho vifuatavyo: Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kitambulisho cha mpiga Kura au hati ya kusafiria au Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wake wa Kijiji anakotoka.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi
- Kila msailiwa azingatie tarehe muda, na mahali pa kufanyia usaili
Kwa wale mlioomba kazi katika nafasi iliyotajwa na majina yenu hayakuonekana katika tangazo hili mtambue kuwa maombi yenu hayakukidhi vigezo.
Ofisi hiii haitawasiliana na wasailiwa kwa njia ya SIMU, Hivyo wasailiwa wanatahadharishwa Na utapeli unaoweza kutokea kwa kupigiwa simu na matapeli na kupewa maelekezo meingine.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nkasi District Council