MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
(NACTVET) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 31-05-2025 hadi 17-06-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025