MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC,TALIRI, TBS na VETA

Filed in Uncategorized by on April 6, 2025 1 Comment
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC,TALIRI, TBS na VETA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC,TALIRI, TBS na VETA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC,TALIRI, TBS na VETA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Wakala wa Vipimo (WMA), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Wizara ya Maji, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-04-2025 hadi 17-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini;

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Yusuph says:

    Mmi yusuph mathias ihorana nina onma nafac zakazi ya udelev

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *