MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 19/05/2025

Filed in Usaili by on May 19, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 19/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 19/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 19/05/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yavWakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Tume ya Ushindani (FCC), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo cha Maji (WI), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), MDAs & LGAs, Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazibwote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 28-06-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!