MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa Kada ya Dereva Daraja la II kuwa, usaili wa kuandika/ mchujo unatarajiwa kufanyika tarehe 17/05/2025 katika Ukumbi wa Nyerere (Lecture Theatre 2) Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), usaili wa Vitendo utafanyika tarehe 19-20 Mei, 2025 katika Chuo cha VETA kilichopo Yombo Buza Jijini Dar es Salaam na Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 22 Mei, 2025 katika Ofisi za Wakala wa Vipimo Makao Makuu DSM.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wa Vitendo (Practical)/kuandika/mchujo wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kweka PDF hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025