MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wizara ya Afya Unguja

Filed in Usaili by on May 29, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wizara ya Afya Unguja

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wizara ya Afya Unguja

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wizara ya Afya Unguja

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi Wizara ya Afya Unguja kuhudhuria katika usaili utakaofanyika katika Spitali ya Wagonjwa wa Akili iliyopo Kidongochekundu saa 2:00 asubuhi.

Usaili huo utafanyika kwa utaratibu ufuatao:

  • Usaili wa Maandishi utafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 31 May, 2025.
  • Usaili wa ana kwa ana utafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 1 June, 2025.
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, “Transcripts”,
  • Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

Orodha ya waliokidhi vigezo vya kufanya usaili huo imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *