MAJINA ya Waliotwa Kazini Ajira Za INEC llemela Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on April 27, 2025 0 Comments
     
MAJINA ya Waliotwa Kazini Ajira Za INEC llemela Municipal Council

MAJINA ya Waliotwa Kazini Ajira Za INEC llemela Municipal Council

MAJINA ya Waliotwa Kazini Ajira Za INEC llemela Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la llemela kwa mamlaka aliyopewa na Kanuni ya 11 (1) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura za Mwaka 2024 amefanya uteuzi wa Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki katika ngazi ya vituo kwaajili ya zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura awamu ya pili itakayoanza tarehe 1 hadi 7 Mei 2025.

Kufuatia uteuzi huo, Wateule wote wakiwemo wale wa akiba (reserves) wanaalikwa kuhudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo ili waweze kutimiza majukumu yao yatakayofanyika siku ya Jumanne tarehe 29 Aprili 2025 kuanzia saa 2.00 asubuhi katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela uliopo Buswelu.

Orodha ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki ambayo pia imejumuisha Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki wa akiba (reserves) imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *