MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025
MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) anapenda kutoa taarifa wagombea wote waliohudhuria Usaili wa Mahojiano kwa nafasi ya ENGINEER II na TECHNICIAN II iliyofanyika tarehe 07 na 08 Machi, 2025 na ambao majina yao yanaonekana katika hili tangazo, kwamba wamechaguliwa na Kuitwa Kazini Kwa Masharti ya Mkataba.
Kwa hiyo, wanatakiwa kuripoti kwa Meneja Rasilimali Watu katika Ofisi Kuu ya TARURA iliyopo Mtumba Jiji la Serikali tarehe 07 Mei, 2025 saa 9:00 a.m.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
