MAJUKUMU ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

MAJUKUMU ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
MAJUKUMU ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza Elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJUKUMU ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Maombi ya nafasi za kujiunga na JWTZ
maombi
Nahitiji kujiunga
Nahitaji kuitumikia taifa yangu
Nahapa kwa taifa langu iwe kifo au uhai