MAJUKUMU ya Kitengo cha Ugavi na Ununuzi, Procurement and Supply

Filed in Makala by on March 16, 2025 0 Comments
     
MAJUKUMU ya Kitengo cha Ugavi na Ununuzi

MAJUKUMU ya Kitengo cha Ugavi na Ununuzi

MAJUKUMU ya Kitengo cha Ugavi na Ununuzi, Procurement and Supply – Ununuzi na ugavi.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kitengo kinaongozwa na Afisa Manunuzi Mkuu.

Hapa chini tumekuwekea orodha ya Majukumu ya Procurement and Supply – Ununuzi na ugavi.

Kitengo cha Ugavi  na Manunuzi kilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ilitungwa na kusimamiwa kwa sheria ya mwaka 2011(Public Procurement Act 2011) na kanuni zake The Public Procurement Pegulations, 2013, iliyofanyiwa malekebisho mnamo mwaka 2016, Government Notice NO.446; imeelezea maana halisi ya ugavi na manunuzi kuwa ni shughuli zote zinazofanywa za ukununua kukopa/kuazima na kuuza kwa mujibu wa sheria kama ilivyooanishwa katika sheria na kanuni zilizopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dira ya kitengo cha ugavi na manunuzi ni upatikanaji wa Wazabuni wa uhakika anaeweza kuwa na huduma stahiki, zenye  ubora halisi kwa bei halisi ya bidhaa zitakazotokana na ushindani wa wazabuni wenye sifa.

Kuwa na Wazabuni wenye sifa za kiushindani, kiuchumi, mwajibikaji, kutoka na Uuzaji, usambazaji na huduma zingine zitakazoitaji huduma kutoka kwa wazabuni husika katika ununuzi na ugawaji.

Kuwa na usawa wa huduma kwa Wazabuni katika kutekeleza, haki usawa, kiushindani na uwazi katika kutimiza tija na Malengo katika Idara zingine ndani yana Nje ya Halmashauri/Mkoa kulingana na sheria na kanuni elekezi za Ugavi na Manunuzi. The Public Act, Act NO.7 of 2011 and The Public Procurement Regulation,2013, Government Notice NO, 446.

Mwelekeo wa kitengo cha Ugavi na Manunuzi kimejikita pia katika maeneo yafuatayo mbali na sheria ya Ugavi na Manuuzi nayo ni:-(Procurement Act and Regulation);

  • Uchumi na Utumiaji sahihi wa fedha ya Umma
  • Kuwa na usawa kwa Wazabuni wote na Utekelezaji sawa kwa Idala
  • Uadilifu katika Utendaji
  • Uwazi wa Taarifa na Uwajibikaji katika kitengo cha Manunuzi.
  • Uzingatiaji thamani ya fedha na uhalisia wa bidhaa husika,
  • Malengo ya kitengo katika utoaji wa huduma
  • Halmashauri ya wilaya Masasi katika kitengo cha Ugavi na Manunuzi kina malengo yafuatayo katika utoaji wa huduma.
  • Kukusanya takwimu za kusaidia kutayarishwa makisio ya Mahitaji yanayohitajika (Procurement Plan) na  mpango wa ununuzi
  • Kukusanya na kutunza takwimu za utendaji wa wazabuni mbalimbali
  • Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji utunzaji na usambazaji wa vifaa.
  • Kusimamia upatikanaji, mtunzaji na usambazaji wa vifaa (physical distribution)
  • Kutayarisha taarifa za kazi katika vipindi maalum.
  • Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyopo kila mwisho wa mwaka (Amount stock taking)
  • Kufanya kazi nyingine zinazopangwa.

VITENGO VILIVYOPO KWENYE IDARA NA MAJUKUMU YAKE.Idara ya Utumushi pia imebeba jukumu la kusimamia kitengo cha ugavi na manunuzi, hivyo kwa mujibu wa muundo kazi kitengo cha ugavi na manunuzi kinafanya majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013 na marekebisho ya mwaka 2016 Na jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MAJUKUMU YA KITENGO KWA UJUMLA

  • Kitengo cha ugavi na manunuzi kwa ujumla kina jukumu la kusimamia shughuli zilizopo kwa mujibu wa sheria na kanuni zake katika kutoa huduma kwa Umma, wazabuni na idara ama vitengo vinavyoshirikiana navyo katika kutoa huduma hizo.

AINA ZA HUDUMA MUHIMU ZINAZOTOLEWA KWA JAMII MARA KWA MARA.

  • Kuleta utafiti na kutoa ushauri jinsi gani gharama za ununuzi au utunzaji wa vifaa zinaweza kupunguzwa.
  • Kutathimini vifaa vinavyotumiwa na idara mbalimbali ilikujua aina na kasi ya matumizi ya vifaa husika kwa hatua Zaidi
  • Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (material reguirementBudgent)
  • Kutayarisha mpango wa ununuzi (reocumener plan)
  • Kushauri juu ya sera ya ununizi na ugavi serikalini
  • KushaurijuuyamfumowamtandaowaununuzinaugavikwakutumiaKompyuta

MWONGOZO WA SERA ZINAZOTUMIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KILA SIKU

  • Uzingatiaji wa sharia katika kila hatua ya manunuzi ya serikali zinatakiwa kufuatwa
  • Uwezo na uadilifu kutokana na majukumu ya kila siku
  • Uzingatiaji wa muda katoka utekelezaji wa majukumu
  • Shughuli zote zinazotekelezwa za kila siku ziwe kwenye mpango kazi wa kitengo cha ugavi na manunuzi
  • Uzingatiaji wa thamani ya fedha na uhalisia wa bidhaa husika
  • Kufanyakazi zote zinazopangwa kufanywa

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!