Majukumu ya Msingi ya JWTZ

Filed in Makala by on February 18, 2025 0 Comments
     
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

Majukumu ya Msingi ya JWTZ

Majukumu ya Msingi ya JWTZ

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii tumekuandalia orodha ya majukumu ya msingi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Majukumu hayo ni kama yalivyoorodheshwa hapa chini;

  • Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
  • Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
  • Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
  • Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  • Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *