MAKUNDI ya CHAN 2024

MAKUNDI ya CHAN 2024
MAKUNDI ya CHAN 2024
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) liliendesha droo ya Makundi ya michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) Jijini Nairobi, katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Kenyatta (KICC) nchini Kenya January 15, 2025.
Mashindano hayo yanayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya pamoja na Uganda yatafanyika kuanzia tarehe 02 hadi tarehe 30 August 2025.
Baada ya droo kukamilika kwa droo hiyo Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Madagascar, Mauritania, Burkina Faso pamoja na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Droo Kamili ya Makundi yote manne ni kama ifuatavyo.
Kundi A; Kenya, Morocco, Angola, DR Congo, Zambia,
Kundi B; Tanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, Central Africa
Kundi C; Uganda, Niger, Guinea, Q2, Q1
Kundi D; Senegal, Congo, Sudan, Nigeria.

MAKUNDI ya CHAN 2024
Q1 na Q2 ni mataifa mawili ambayo bado yanasubiriwa kati ya mataifa saba ambayo ni pamoja na Algeria, Afrika Kusini, Malawi, Gabon.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAKUNDI ya CHAN 2024