MATOKEO RS Berkane vs Simba SC 17 May 2025

Filed in Michezo by on May 17, 2025 0 Comments
     
MATOKEO RS Berkane vs Simba SC 17 May 2025 

MATOKEO RS Berkane vs Simba SC 17 May 2025

MATOKEO RS Berkane vs Simba SC 17 May 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba SC imeshindwa kupata ushindi mbele wa weyeji RS Berkane Katika mchezo wa Kwanza wa Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025 baada ya kuruhusu mabao 2-0 Katika mchezo ambao umepigiwa kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane mjini Berkane nchini Morocco.

Mabao ya Berkane yamefungwa na Mamadou Lamine Camara kwa kichwa dakika ya 7 na Oussama Lamlaoui la pili dakika ya 14.

Baada ya mchezo wa Kwanza Simba wanarejea Tanzania kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa pili tarehe 25 May 2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex au Benjamin Mkapa.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!