MATOKEO Simba vs Mashujaa 02 May 2025

Filed in Michezo by on May 2, 2025 0 Comments
     
MATOKEO Simba vs Mashujaa 02 May 2025

MATOKEO Simba vs Mashujaa 02 May 2025

MATOKEO Simba vs Mashujaa 02 May 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uliofanyika kwenye Uwanja KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.

Mabao yote ya Simba SC leo yamefungwa kwa mikwaju ya penalti na mshambuliaji Leonel Ateba Mbida dakika ya 65 na 90’+19, huku la Mashujaa FC likifungwa na Jaffar Kibaya dakika ya 5.

Kwa ushindi huo, Simba SC imefikisha pointi 60 katika mchezo wa 23 ikibaki nafasi ya pili nyuma ya Yanga yenye pointi 70 Kwa michezo 26.

Mashujaa FC baada ya kupoteza mchezo huo inabaki na pointi zake 30 baada ya kucheza mechi 27 ikibaki nafasi ya tisa.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!