MATOKEO Simba vs TMA Stars 11 Machi 2025

MATOKEO Simba vs TMA Stars 11 Machi 2025
MATOKEO Simba vs TMA Stars 11 Machi 2025
Klabu ya Simba imefanikiwa Kufuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu CRDB Bank Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars ya Arusha.
Mabao ya Simba SC katika mchezo yamefungwa na Valentin Nouma dakika ya 17, Sixtus Robert Sabilo aliyejifunga dakika ya 19 na Christian Leonel Ateba dakika ya 76.
Baada ya ushindi huo Simba SC sasa itakutana na Big Man FC ya Tanga iliyoitoa Tanzania Prisons kwa penalti 3 -2 baada ya sare ya 1-1, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
