MATOKEO ya Mock Darasa la Saba 2025, Standard Seven (PSLE) results 2025

Filed in Elimu by on June 21, 2025 0 Comments
MATOKEO ya Mock Darasa la Saba 2025, Standard Seven (PSLE) results 2025

MATOKEO ya Mock Darasa la Saba 2025, Standard Seven (PSLE) results 2025

MATOKEO ya Mock Darasa la Saba 2025, Standard Seven (PSLE) results 2025

Kupitia Ukurasa huu utaweza kuona matokeo ya Mock darasa la saba 2025.

Matokeo hayo huashiria wakati muhimu kwa wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani ya mwisho ya Darasa la Saba Kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania NECTA ambalo lina jukumu la kusimamia mitihani ya kitaifa, ukiwemo Mtihani huo wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE).

Aidha NECTA haiandai mitihani ya Mck bali mitahani hiyo huandaliwa na ofisi za Elimu za mikoa au wilaya husika.

Kwa hivyo, matokeo ya Mock darasa la saba husaidia kutathmini utayari wa wanafunzi, Kwa kuangazia nguvu na udhaifu, na kuzipa shule na familia wakati wa kuchukua hatua kabla ya mtihani wa mwisho.

Hii hapa nchini ni Orodha ya Mikoa ambayo tayari imetangaza matokeo ya mtihani wa Mock Kwa Mwaka huu wa 2025.

Hello Casino

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *