MATUMIZI ya namba yako ya NIDA

Filed in Michezo by on April 21, 2025 0 Comments
     
MATUMIZI ya namba yako ya NIDA

MATUMIZI ya namba yako ya NIDA

MATUMIZI ya namba yako ya NIDA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii utafahamu umuhimu wa Matumizi ya Namba yako ya NIN au Kitambulisho Chako Cha Taifa (NIDA).

Ukiwa na Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) au Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unaweza kuitumia kupata huduma nyingi za kijamii, kiuchumi na kiusalama:-

  • Kusajili Laini ya Simu (Sim Card Registration),
  • Kusajili Namba Maalumu ya Mlipa Kodi (TIN),
  • Kusajili Biashara/Kampuni – BRELA,
  • Kukata Hati ya Kusafiria ya Kielektroniki (E-Passport),
  • Kukata Leseni ya Udereva,
  • Kupata Huduma ya Afya,
  • Kufungua Akaunti ya Benki,
  • Kukopesheka Kirahisi kwenye Taasisi za Fedha,
  • Kujiunga na Elimu Ngazi Mbalimbali,
  • Kupata Mkopo wa Elimu ya Juu,
  • Hati Miliki ya Kiwanja, Nyumba n.k,
  • Kujidhamini na Kudhamini Wengine,
  • Kitambulisho cha Taifa kutokana na kuwa na Kisilikoni (Cheap) kinaweza Kutumika kama Pochi ya Fedha ya Kielektroniki (E-Wallet) ambako unahifadhi fedha na kufanya malipo kwa kutumia Kitambulisho Chako,
  • Kitambulisho kinaweza kutumika kama ATM CARD,
  • Kwenye Maingio ya Malango Kielektroniki (E-Entrace),
  • Daftari la Mahudhurio la Kielektroniki (Electronic Attendance),
  • Mwananchi kuondokana na Adha ya Kubeba Utitiri wa Vitambulisho kwani sasa taarifa zote Muhimu za mwananchi zitapatikana katika Mfumo Mkuu wa Taifa wa Utambuzi wa Watu,
  • Kinaweza kutumika kama hati ya Utambuzi wa Utaifa wa wananchi wanaovuka mipaka ndani ya nchi zilizoko katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na kwingineko,
  • Vitaimarisha Utendaji Kazi Serikalini kwa Kuwa na Kumbukumbu Sahihi za Watumishi na Malipo ya Stahili zao, hasa Wanapostahafu,
  • Kupata Ruzuku za Pembejeo za Kilimo Kirahisi,
  • Kujisajili kwenye Chama cha Ushirika (Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Makundi mengine),
  • Kupata Msaada wa TASAF unaotolewa kwa Kaya Masikini,
  • Kufungua Akaunti ya Benki na
  • Kuomba Ajira pamoja na Huduma Nyingine Nyingi.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *