MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali Tanzania

MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali Tanzania
MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali Tanzania
Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya malipo ya Mshahara na Motisha katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2025.
Katika hatua za kutimiza malengo ya Sera hii, Serikali imefanya marekebisho ya mishahara ya watumishi wake kuanzia tarehe 1 Julai, 2025
Kufuatia marekebisho hayo, kima cha chini cha mshahara kimeongezwa kwa asilimia 35.1 kutoka shlingi 370,000 kwa mwezi hadi shilingi 500,000 kwa mwezi.
Ngazi nyingine za mshahara zimeongezwa kwa asilimia tofauti.
Kwa upande wa Sekta binafsi bodi ya kima cha chini cha mshaharaa inaendelea kufanya mapitio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara kwa Wafanyakazi wa Sekta hiyo.
Waajiri wote wanaohusika na Waraka huu wanatakiwa kurekebisha mishahara ya Watumishi wao kulingana na viwango vilivyotolewa katika Waraka huu.
Viwango vya Mshahara kwa Watumishi wa Umma nchini Tanzania kwa Mwaka 2025 ni kama ilivyoainishwa hapa chini;

Mishahara ya Watumishi wa Umma 2025
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
