MPANGILIO Wa Vituo Vya Usaili Kada ya RMA-DSM 25/05/2025

MPANGILIO Wa Vituo Vya Usaili Kada ya RMA-DSM 25/05/2025
MPANGILIO Wa Vituo Vya Usaili Kada ya RMA-DSM 25/05/2025
MCHANGANUO Wa Vituo Vya Usaili Kwa Waombaji Kazi Wa Kada Ya Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La Ii (Records Management Assistant II) Waliopangiwa Kufanya Usaili KANDA YA DAR ES SALAAM TAREHE 25 APRILI 2025
Waombaji kazi wote wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant) waliopangwa kufanya usaili kanda ya Dar es salaam mnajulishwa kuwa mnapaswa kuzingatia vituo vya usaili kwa mpangilio wa majina uliopo kwenye kiambatisho hapo chini.
Kwa kiambatisho kilichopo kwenye tangazo hili, wasailiwa kuanzia serial number 1 hadi 1000 watafanya usaili kituo cha JKT MGULANI.
Wasailiwa kuanzia serial number 1001 hadi 2000 watafanya usaili kituo cha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA-GONGO LA MBOTO na;
Wasailiwa kuanzia serial number 2001 hadi 2540 watafanya usaili kituo cha TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MPANGILIO Wa Vituo Vya Usaili Kada ya RMA-DSM 25/05/2025