MSIMAMO NBC Premier League 2024/2025

Filed in Michezo by on May 13, 2025 0 Comments
     
MSIMAMO NBC Premier League 2024/2025

MSIMAMO NBC Premier League 2024/2025

MSIMAMO NBC Premier League 2024/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu NBC Premier League ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, ambayo inasimamiwa na Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.

Ligi hiyo ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama “Ligi ya Taifa”. Jina hilo lilibadilishwa kuwa “Ligi Daraja la kwanza” na tena ikabadilishwa kuwa Ligi Kuu mwaka 1997.

Kuanzia msimu wa 2018/19, ligi hiyo ina klabu 20 zilizocheza Mashindano hayo kwa mizunguko miwili.

Huu hapa Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Yanga ipo nafasi ya ngapi?, Simba ipo nafasi ya ngapi?, Azam ipo nafasi ya ngapi? singida ipo nafasi ya ngapi?

Standings provided by Sofascore
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *