MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026
MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026
Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu NBC Premier League ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, ambayo inasimamiwa na Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.
Ligi hiyo ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama “Ligi ya Taifa”. Jina hilo lilibadilishwa kuwa “Ligi Daraja la kwanza” na tena ikabadilishwa kuwa Ligi Kuu mwaka 1997.
Kuanzia msimu wa 2018/19, ligi hiyo ina klabu 20 zilizocheza Mashindano hayo kwa mizunguko miwili.
Huu hapa Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2025/2026, Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026.
