MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo

Filed in Ajira by on May 22, 2025 0 Comments
     
MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo unafanyika kupitia mfumo wa eRITA pekee.

Walio na VYETI VYA ZAMANI vilivyochapwa kwa typewriter watalazika kwanza kupata vyeti vya kidijitali kwa kufuata hatua namba 1-6 hapo chini na baada ya hapo achague OLD to NEW.

Baada ya kukamilisha hatua hiyo na kupata cheti kipya ataendelea na uhakiki.

Waombaji wote wanatakiwa kufuata muongozo ufuatao;

  • ngia kwenye tovuti ya Wakala www.rita.go.tz;
  • Bonyeza kitufe kilichoandikwa eRITA;
  • Chagua Huduma ya Vizazi na Vifo;
  • Bonyeza REGISTER katika kipengele cha REGISTRATION na jaza taarifa zote kwa usahihi kufungua akaunti ya maombi; (Muhimu: Nenosiri (Password) liwe na herufi zaidi ya nane ikiwa na mchanganyiko wa herufi kubwa na alama mojawapo (mfano @#$”!*&),
  • Ingia katika akaunti ya barua pepe “email” fungua ujumbe uliotumiwa kutoka RITA kisha bonyeza neno “Account activation
  • Ingia tena katika mfumo wa eRITA na bonyeza kitufe cha SIGN IN na jaza taarifa ili katika mfumo;
  • Chagua BIRTH SERVICES kwa huduma ya Kizazi /(DEATH SERVICES kwa huduma ya kifo) Kisha bonyeza alama ya jumlisha upande wa chini kulia.
  • Chagua REQUEST VERIFICATION na jaza taarifa zote kwa usahihi ikiwa pamoja na namba ya cheti cha kuzaliwa au kifo (namba hii ipo katika safu (column) namba moja (1) katika cheti);
  • Thibitisha taarifa ulizojaza kisha chagua kitufe cha kwenda mbele;
  • Fanya malipo sahihi kulingana na ankara uliyopata kwenye mfumo;

KUPATA MAJIBU YA UHAKIKI: Ingia katika akaunti uliyofungua ya mfumo wa eRITA, chagua huduma ya BIRTH/DEATH→Submitted→Details.

Mfumo ukionesha neno verified itamaanisha cheti chako ni halali.

Pakua (Download) fomu ya uthibitisho utakayotumia kupata huduma unayohitaji.

Kwa waombaji wa huduma za NHIF na HELSB watajaza namba ya ombi inayopatikana kwenye fomu upande wa juu kulia.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!