NAFASI 12 Za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

Filed in Ajira by on March 15, 2025 0 Comments
     
NAFASI 12 Za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

NAFASI 12 Za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

NAFASI 12 Za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi 12 za kazi katika Wizara ya Afya
Zanzibar kama ifuatavyo hapa chini;

✅MTAALAM WA UCHUMI KATIKA AFYA “HEALTH ECONOMIST”
DARAJA LA II (ZPHG – 06) NAFASI 3 Unguja.

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya “Health Economy”
    katika chuo kinachotambuliwa na serikali
  • Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza kiengereza na awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai.

✅AFISA USIMAMIZI HOSPITALI DARAJA LA II “Hospital Management
Officer” (ZPSG – 06) NAFASI 3 Unguja,

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya “Hospital Management” au “Hospital System Management” kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  • Awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai
  • Awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kiengereza

✅AFISA MIRADI YA AFYA DARAJA LA II (ZPSG – 06) NAFASI 2 Unguja

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu elimu ya shahada ya kwanza katika fani ya “Bachelor
    degree in Project Planning and Management or Project Management, Monitoring and Evaluation in Health” kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

✅AFISA MIRADI YA AFYA DARAJA LA I (ZPSH – 04) NAFASI 2 Unguja

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe Mzanzibari mwenye Umri usiozidi miaka 46
  • Awe amehitimu Shahada ya pili katika fani ya “Master of Project
    Planning and Management or Master in Project Management,
    Monitoring and Evaluation in Health” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

✅AFISA USIMAMIZI TAARIFA ZA AFYA DARAJA LA II “Health
Informatics officer” (ZPSG – 08) NAFASI 2 Unguja.

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Health Informatics au health information system kutoka katika chuo kinachotambuliwa nabSerikali.
  • Awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai.

Ajira Mpya 12 Kutoka Wizara ya Afya Zanzibar, ZanAjira.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira (Zan-Ajira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 13 Machi, 2025 hadi tarehe 27 Machi, 2025.

Aidha Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.

Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR

Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia e-mail helpdesk@zanajira.go.tz au simu Nam. 0773101012.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!