NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026
NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026
Serikali ya Saudi Arabia imetoa fursa za Ufadhili wa masomo ya juu jumla ya nafasi mia moja na ishrini na saba (127) kwa Tanzania.
Nafasi hizo ni kwa ngazi mbali mbali za vyuo vilivyopo nchini Saudi Arabia.
Maombi ya Ufadhili wa masomo hayo yafanyike kupitia Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia kwa kutumia linki ya https://studyinsaudi.moe.gov.sa
Taarifa zaidi kuhusu vigezo vya muombaji (admission requirements), utaratibu wa kufanya maombi (Admission procedures), fani za kujiunga (programmes for admission) na maeneo yatakayo gharamiwa na ufadhili (scholarship benefits) zinapatikana kwenye linki hapo juu.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026