NAFASI 21 Za Kazi MDAs & LGAs

NAFASI 21 Za Kazi MDAs & LGAs
NAFASI 21 Za Kazi MDAs & LGAs
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini na moja (21) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: NAFASI 21 Za Kazi MDAs & LGAs, NAFASI Za Kazi MDAs & LGAs

Natamani niwe miongoni mwa wafanyakazi ni miaka sasa toka.2016 niko nyumbani bila ya kazi
Natumai nitakubaliwa
Asnte mungu na srikali ya mapnduz kuleta nafasi hii
Natamani niwe miongoni mwa wafanya kazi ni mwaka moja nipo nyumbani bila kazi yoyote
Request for job of accountancy
Ninaomba kazi ya Uhasibu nilisomea uhasibu wa umma na fedha
Naomba kuwa miongoni mwa wa wafanyakazi nitafanya kazi kwa kukutumia kea ajili ya taiga langu
Natamani niwe mfanyakaz boraa..katika nch yangu mimi ni mzalendo
Naomba niwe miongoni mwa aafanyakaz wa taasisi hii naomb ombi langu likubaliwe
Jobs