NAFASI 220 Za Madereva na Utingo Itracom Fertilizers Ltd

NAFASI 220 Za Madereva na Utingo Itracom Fertilizers Ltd
NAFASI 220 Za Madereva na Utingo Itracom Fertilizers Ltd
NAFASI 220 ZA MADEREVA WA MAGARI YA MIZIGO (NAFASI 110) NA UTINGO TURNBOYS (NAFASI 110).
Itracom Fertilizers Ltd inautangazia Umma kuwa inahitaji kuajiri vijana wa Kitanzania wenye weledi na uzoefu wa kuendesha au kuwa tingo wa magari makubwa ya mizigo.
Kampuni hiyo inahitaji Madereva (110) na Matingo (Turn boys) 110 kwaajilibya kusafirisha malighafi na mbolea ya Itracom Fertilizers Ltd-Dodoma-Tanzania.
Ili kuhakikisha tunapata watu sahihi, wenye tabia njema na wa kuaminika, wenye ujuzi na uzoefu sahihi wa kuendesha magari hayo kwa ufanisi na tupate ;uhakika kuwa wanaweza kutunza mali za kampuni, waombqji wanatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo kwa kuleta maombi ya Kazi na dhamana.
1.Madereva wanaotakiwa ni vijana wa Kitanzania ambao wana tabia njema, wana uzoefu wa kuendesha magari ya mizigo ya masafa marefu. Utingo
awe ni kijana mwenye tabia njema na ari ya kufanyakazi kwa bidii.
2.Waombaji wanatakiwa kuambatanisha cheti cha tabia njema (Police criminal ciearance form) kutoka Jeshi la Polisi Tanzania.
3.Waombaji wote wanatakiwa kujaza fomu maalumu ya dhamana zikiambatanishwa na barua za wadhamini
4.Kampuni itafanya usaili, na ufuatiliaji wa taarifa zate zitakazotolewa na
muombaji na wadhamini husika.
5.Mwajiri hana lazima yoyote ya kutoa maelezo iwapo maombi ya kazi au
dhamana itakataliwa.
Waombajl watume barua za maombi na fomu ya dhamana na viambatanisho
vinginye.
Maombi yatumwe kwa mkono ofisi ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu
na Utawala au kwa e-mail nestory.maduhu@itracomfertilizers.co.tz kabla ya tarehe 09 January 2025 saa 11 jioni.
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: NAFASI 220 Za Madereva na Utingo Itracom Fertilizers Ltd

Naomba kazi ya utingo
Kazi ya udereva naoomba process zipoje
Nahitaji nafasi ya dreva kama ipo
Kama nafasi ya udreva imejaa hata utingo …napiga kazi
Naitaji kazi ya utingo