NAFASI 23 Za Kazi St Francis University College of Health and Allied Sciences

NAFASI 23 Za Kazi St Francis University College of Health and Allied Sciences
NAFASI 23 Za Kazi St Francis University College of Health and Allied Sciences
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Francisko cha Afya na Sayansi Shirikishi (SFUCHAS) ni Chuo maalumu Cha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT)
Chuo hicho kilianzishwa mwaka 2010 na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kuzingatia hitaji la Kanisa Katoliki kuchangia mafunzo ya madaktari na Wataalamu wengine wa Afya nchini Tanzania.
Chuo hiki ni shule ya pili ya Udaktari baada ya kile kilichokuwa cha Weill Bugando cha Mwanza, Kwa sasa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS) kuanzishwa na kumilikiwa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania.
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Francisko cha Afya na Sayansi Shirikishi kipo Ifakara mjini; makao ya utawala ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro iliyopo kilomita 420 Kusini-Magharibi mwa Dar-s-Salaam na kilomita 230 kutoka Morogoro Mjini.
Chuo hicho kimetangaza ajira Mpya 23 Kwa Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kama zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: NAFASI 23 Za Kazi St Francis University College of Health and Allied Sciences